Hospitali yafunguliwa karibu na mlango wa nyumbani (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 24, 2022
Hospitali yafunguliwa karibu na mlango wa nyumbani
Mei 22, madaktari wakikwenda nyumbani kutoa huduma ya matibabu kwa wakazi katika Makazi ya Minyuejiayuan ya Mtaa wa Qingta wa Eneo la Fengtai.

Kutokana na athari ya maambukizi ya virusi vya korona, kuanzia saa 6 ya Tarehe 17, Mji wa Beijing ulichukua hatua ya usimamizi na udhibiti wa muda kwa Mitaa ya Qingta, Wulidian na Lugouqiao na mingineyo.

Mitaa, makazi na vituo vya huduma ya afya vya makazi zilichukua hatua mbalimbali pamoja ili kukidhi mahitaji ya matibabu na dawa za wakazi walioko kwenye maeneo yanayofanyiwa usimamizi na udhibiti wa muda.

Kituo cha Huduma ya Afya cha Makazi ya Lugouqiao kiliunda “timu maalum ya matibabu kwa maeneo ya usimamizi na udhibiti”, kikikidhi mahitaji ya matibabu ya wakazi kwa njia za kujiandikisha na madaktari wa kifamilia na wahudumu maalum wa matibabu, kufungua kituo cha matibabu katika maeneo ya udhibiti, kutoa huduma za kuandikisha dawa na kupeleka nyumbani na au kuagiza matibabu ya nyumbani.

(Mpiga picha: Peng Ziyang/Xinhua) 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha