

Lugha Nyingine
Wanavijiji watengeneza Zongzi huko Guangxi ili kukaribisha kuwadia kwa Sikukuu ya Ngalawa za Dragon ya China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 27, 2022
![]() |
Wanavijiji wakitengeneza Zongzi za rangi Mkoa wa Guangxi, Kusini mwa China, Mei 25, 2022, ili kukaribisha kuwadia kwa siku ya ngalawa za dragon. |
Zongzi ni chakula chenye muundo wa Piramidi ambacho ndani ya majani ya mianzi au matete ni kijazo cha mchele pamoja na maharage. (Picha/Chinanews)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma