Wanavijiji watengeneza Zongzi huko Guangxi ili kukaribisha kuwadia kwa Sikukuu ya Ngalawa za Dragon ya China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 27, 2022
Wanavijiji watengeneza Zongzi huko Guangxi ili kukaribisha kuwadia kwa Sikukuu ya Ngalawa za Dragon ya China
Wanavijiji wakitengeneza Zongzi za rangi Mkoa wa Guangxi, Kusini mwa China, Mei 25, 2022, ili kukaribisha kuwadia kwa sikukuu ya ngalawa za dragon ya China.

Zongzi ni chakula chenye muundo wa Piramidi ambacho ndani ya majani ya mianzi au matete ni kijazo cha mchele pamoja na maharage. (Picha/Chinanews)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha