Misri yazindua ugunduzi wa majeneza ya kale 250 na sanamu za kale 150 huko Saqqara (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 31, 2022
Misri yazindua ugunduzi wa majeneza ya kale 250 na sanamu za kale 150 huko Saqqara
Picha iliyopigwa Mei 30, 2022 ikionyesha majeneza yenye rangi mbalimbali yakiwa na maiti za kale zilizotiwa mumiani ndani yake wakati wa maonyesho ya mafanikio ya kiakiolojia huko Saqqara necropolis, Kusini mwa Cairo, Misri. (Xinhua/Ahmed Gomaa)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha