

Lugha Nyingine
Utaratibu wa uzalishaji na maisha ya watu utarudia katika hali ya kawaida Shanghai (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 01, 2022
![]() |
Mei 31, wakazi wakikwenda nje pamoja na mbwa wao karibu na Jengo la Wukang la Eneo la Xuhui, Shanghai. |
Kwa mujibu wa mpango wa jumla wa Mji wa Shanghai wa kuendelea kuimarasha matokeo ya kuzuia na kudhibiti maambukizi ya virusi vya korona na kurejesha uzalishaji na maisha ya watu katika hali ya kawaida kwa utaratibu, kuanzia Juni 1, Shanghai imetekeleza kikamilifu usimamizi wa hali ya kawaida ya kuzuia na kudhibiti maambukizi ya virusi vya korona na kurejesha kikamilifu uzalishaji na maisha ya watu ya kawaida kwenye msingi wa kutokuwa na mlipuko mkubwa wa maambukizi ya virusi vya korona na kuhakikisha hatari zinaweza kudhibitiwa. (Picha na Jin Liwang/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma