Utaratibu wa uzalishaji na maisha ya watu utarudia katika hali ya kawaida Shanghai

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 01, 2022
 Utaratibu wa uzalishaji na maisha ya watu utarudia katika hali ya kawaida Shanghai
Mei 31, basi lililokuwa likielekea Kituo cha treni cha Shanghai likingoja taa ya ishara barabarani kwenye Barabara ya Kati ya Henan ya Eneo la Huangpu, Shanghai.

Kwa mujibu wa mpango wa jumla wa Mji wa Shanghai wa kuendelea kuimarasha matokeo ya kuzuia na kudhibiti maambukizi ya virusi vya korona na kurejesha uzalishaji na maisha ya watu katika hali ya kawaida kwa utaratibu, kuanzia Juni 1, Shanghai imetekeleza kikamilifu usimamizi wa hali ya kawaida ya kuzuia na kudhibiti maambukizi ya virusi vya korona na kurejesha kikamilifu uzalishaji na maisha ya watu ya kawaida kwenye msingi wa kutokuwa na mlipuko mkubwa wa maambukizi ya virusi vya korona na kuhakikisha hatari zinaweza kudhibitiwa. (Picha na Jin Liwang/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha