

Lugha Nyingine
Sikukuu ya Ngalawa za Dragon ya kikabila yashereheshwa Guizhou (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 24, 2022
![]() |
Tarehe 22, Juni, 2022, ngalawa za dragon zikishindana kwenye mto wa Qingshui huko Shiping, Mkoa wa Guizhou wa Kusini Magharibi mwa China, ili kusherehekea sikukuu ya ngalawa za dragon. |
Watu wa kabila la Wamiao wanasherehekea sikukuu ya ngalawa za dragon ya kikabila kwa ajili ya kuomba hali nzuri ya hewa na mavuno. (Picha/Chinanews)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma