Mji wa Fuzhou nchini China wahimiza utunzaji wa kijamii kwa wazee

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 28, 2022
Mji wa Fuzhou nchini China wahimiza utunzaji wa kijamii kwa wazee
Wafanyakazi wa jumuiya wakihudumia wazee kwenye kantini ya wazee katika Wilaya ya Gulou ya Fuzhou, Mji Mkuu wa Mkoa wa Fujian ulioko Kusini-Mashariki mwa China, Juni 24, 2022.

Tangu Mwaka 2019 Fuzhou imekuwa ikihimiza utunzaji wa kijamii kwa wazee kwa kuwapa huduma za chakula na mihadhara ili kuboresha maisha yao. Sasa wakazi wazee wa mji huo wanaweza kufurahia huduma ya chakula katika zaidi ya kantini 180 zilizopangwa maalumu kwa ajili yao huko Fuzhou. (Xinhua/Jiang Kehong)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha