Idadi ya vifo vya wahamiaji waliopatikana ndani ya tela la lori huko Texas Marekani yafikia 50 (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 29, 2022
Idadi ya vifo vya wahamiaji waliopatikana ndani ya tela la lori huko Texas Marekani yafikia 50
Watoa huduma ya kwanza wakifanya kazi katika eneo ambalo inadhaniwa ni la tukio la kusafirisha watu wengi kimagendo ambao walikutwa wamefariki huko San Antonio, Texas, Marekani. (Picha na Nick Wagner/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha