Reli ya SGR iliyojengwa na China yatoa huduma thabiti ya uchukuzi nchini Kenya (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 06, 2022
Reli ya SGR iliyojengwa na China yatoa huduma thabiti ya uchukuzi nchini Kenya
Treni ya kwanza ya mizigo ya reli ya kisasa (SGR) ya Nairobi-Naivasha ikiwasili kwenye Bohari ya nchi kavu ya Makontena nchini Kenya, Desemba 17, 2019. Reli ya Nairobi-Naivasha yenye urefu wa kilomita 120 ni sehemu ya upanuzi wa reli ya kisasa iliyojengwa na China inayounganisha mji wa bandari wa pwani ya Kenya, Mombasa na Mji Mkuu Nairobi. Reli ya SGR ya Mombasa-Nairobi iliyofadhiliwa kwa kiasi kikubwa na China na kujengwa na Kampuni ya China Road and Bridge Corporation (CRBC), ilianza kujengwa Mwaka 2014 na kukamilika Mwaka 2017. (Xinhua/Wang Teng)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha