Reli ya SGR iliyojengwa na China yatoa huduma thabiti ya uchukuzi nchini Kenya

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 06, 2022
Reli ya SGR iliyojengwa na China yatoa huduma thabiti ya uchukuzi nchini Kenya
Picha iliyopigwa Oktoba 2, 2018 ikionyesha treni ya kubeba makontena juu na chini ya Reli ya Kisasa (SGR) ya Mombasa-Nairobi nchini Kenya. Kwa mujibu wa takwimu kutoka kampuni ya Afristar inayoendesha biashara hiyo ya usafiri na uchukuzi, Reli ya SGR ya Mombasa-Nairobi imesafirisha zaidi ya makontena milioni 1.7 yenye urefu wa futi 20 (TEUs)katika miaka mitano iliyopita. Aidha, reli hiyo inaendesha treni 16 za mizigo kila siku. (Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha