Mji wa Shanghai nchini China watangaza tahadhari nyekundu kutokana na halijoto ya juu (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 11, 2022
Mji wa Shanghai nchini China watangaza tahadhari nyekundu kutokana na halijoto ya juu
Watu wakitembea barabarani huku kukiwa na joto la juu katika Eneo la Minhang, mjini Shanghai, Mashariki mwa China Julai 10, 2022. (Xinhua/Liu Ying)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha