Kituo cha Uzalishaji wa Umeme kwa nishati ya jua kinachojengwa kwa msaada wa China chapunguza uhaba wa umeme wa Jamhuri ya Afrika ya Kati (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 12, 2022
Kituo cha Uzalishaji wa Umeme kwa nishati ya jua kinachojengwa kwa msaada wa China chapunguza uhaba wa umeme wa Jamhuri ya Afrika ya Kati
Juni 2, wahandisi wakikagua na kurekebisha vifaa katika Kituo cha Uzalishaji wa Umeme kwa nishati ya jua cha Sakai. (Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha