

Lugha Nyingine
Kusonga mbele kwa utaratibu ujenzi wa Reli ya Lijiang-Shangri-La (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 28, 2022
![]() |
Julai 27, wafanyakazi wakifanya kazi kwenye handaki ya Haba linalopita mlima wa theluji ambalo ni mradi wa ujenzi wa Idara ya 16 ya Kampuni ya Reli ya China. |
Urefu wa jumla wa Reli ya Lijiang-Shangri-La ni kilomita 140, na kasi iliyopangwa ni kilomita 120 kwa saa, upande wake wa kusini ni wa kutoka Mji wa Lijiang mkoani Yunnan, unapita Mto Jinshajiang wa upande wa kaskazini na mwisho kufika Shangri-La. Baada ya kuzinduliwa kwa reli hiyo, itapunguza muda wa kusafiri kutoka Mji wa Lijiang hadi Shangri-La, na ni muhimu sana kusaidia mtandao wa reli wa kaskazini-magharibi mwa Mkoa wa Yunnan, kusukuma mbele maendeleo ya uchumi na jamii ya hali ya juu katika kando mbili za mto, na kukuza mshikamano wa makabila na ustawishaji wa vijiji. (Mpiga picha: Chen Xinbo/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma