Kusonga mbele kwa utaratibu ujenzi wa Reli ya Lijiang-Shangri-La (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 28, 2022
Kusonga mbele kwa utaratibu ujenzi wa Reli ya Lijiang-Shangri-La
Picha hii iliyopigwa Julai 27 ikionesha Daraja kubwa la Mto Jinshajiang la Reli ya Lijiang-Shangri-La. (Picha na droni)

Urefu wa jumla wa Reli ya Lijiang-Shangri-La ni kilomita 140, na kasi iliyopangwa ni kilomita 120 kwa saa, upande wake wa kusini ni wa kutoka Mji wa Lijiang mkoani Yunnan, unapita Mto Jinshajiang wa upande wa kaskazini na mwisho kufika Shangri-La. Baada ya kuzinduliwa kwa reli hiyo, itapunguza muda wa kusafiri kutoka Mji wa Lijiang hadi Shangri-La, na ni muhimu sana kusaidia mtandao wa reli wa kaskazini-magharibi mwa Mkoa wa Yunnan, kusukuma mbele maendeleo ya uchumi na jamii ya hali ya juu katika kando mbili za mto, na kukuza mshikamano wa makabila na ustawishaji wa vijiji. (Mpiga picha: Chen Xinbo/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha