Mkutano wa Kimataifa wa Uchumi wa Kidijitali wa Mwaka 2022 wafanyika Beijing, China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 29, 2022
Mkutano wa Kimataifa wa Uchumi wa Kidijitali wa Mwaka 2022 wafanyika Beijing, China
Picha iliyopigwa Tarehe 28 Julai 2022 ikionyesha mashine ya akili bandia ya kupima kwa pamoja ubora kwenye Mkutano wa Kimataifa wa Uchumi wa Kidijitali wa Mwaka 2022 katika Kituo cha Taifa cha Mikutano cha China hapa Beijing, Mji Mkuu wa China. (Xinhua/Chen Zhonghao)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha