Mkutano wa Kimataifa wa Uchumi wa Kidijitali wa Mwaka 2022 wafanyika Beijing, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 29, 2022
Mkutano wa Kimataifa wa Uchumi wa Kidijitali wa Mwaka 2022 wafanyika Beijing, China
Picha iliyopigwa Julai 28, 2022 ikionyesha gari linalojiendesha kwa ajili kutoa huduma za kibenki kwenye Mkutano wa Kimataifa wa Uchumi wa Kidijitali wa Mwaka 2022 unaofanyika katika Kituo cha Taifa cha Mikutano cha China hapa Beijing, Mji Mkuu wa China. Ukiwa na kaulimbiu ya "Shikilia Mustakabali wa Kidijitali -- Mambo Mapya, Kanuni Mpya, Miundo Mipya", Mkutano wa Kimataifa wa Uchumi wa Kidijitali wa Mwaka 2022 umeanza hapa Beijing kuanzia Julai 28 hadi 30, ukionyesha mafanikio mapya katika uchumi wa kidijitali. (Xinhua/Chen Zhonghao)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha