Kutumia likizo ya majira ya joto kwenye Jumba la Makumbusho ya Sayansi na Teknolojia (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 15, 2022
Kutumia likizo ya majira ya joto kwenye Jumba la Makumbusho ya  Sayansi na Teknolojia
Agosti 14, katika Jumba la Makumbusho ya Sayansi na Teknolojia la China, watembeleaji wakiwa kwenye foleni ili kutembelea mfano mkubwa wa Chombo cha Shenzhou kinachobeba binadamu kwenye safari ya anga ya juu na maabara kwenye anga ya juu.

Wakati wa kipindi cha likizo ya majira ya joto, wakazi wengi mjini na wanafunzi wanachagua kutembelea katika Jumba la Makumbusho ya Sayansi na Teknolojia la China ili kutumia vizuri likizo yao na kuhisi mvuto wa sayansi na teknolojia.

(Mpiga picha: Ju Huanzong/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha