

Lugha Nyingine
Kutumia likizo ya majira ya joto kwenye Jumba la Makumbusho ya Sayansi na Teknolojia
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 15, 2022
![]() |
Agosti 14, watoto wakijaribu kutumia vifaa vya kucheza mchezo kama kwenye maji katika Jumba la Makumbusho la Sayansi na Teknolojia la China. |
Wakati wa kipindi cha likizo ya majira ya joto, wakazi wengi mjini na wanafunzi wanachagua kutembelea katika Jumba la Makumbusho ya Sayansi na Teknolojia la China ili kutumia vizuri likizo yao na kuhisi mvuto wa sayansi na teknolojia.
(Mpiga picha: Ju Huanzong/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma