

Lugha Nyingine
Shanghai yafungua kituo cha mapumziko kwa wafanyakazi wanaofanya kazi nje katika majira ya joto (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 18, 2022
![]() |
Picha iliyopigwa tarehe 16, Agosti ikionesha chupa za maji ya kunywa na soda ya chumvi zinazotumiwa bure ndani ya friji ya kituo cha mapumziko cha eneo la Hongkou la Shanghai, China. |
Hali joto ya hewa ya mwaka huu imeleta changamoto kubwa kwa wafanyakazi wanaofanya kazi nje ya nyumba huko Shanghai. Hivi karibuni, kituo kilichofunguliwa kwenye Mtaa wa Sanhe wa eneo la Hongkou la Shanghai kimewasaidia wahudumu wa usafishaji mtaani, wafanyakazi wa bustani, wa ujenzi wa mji na kazi nyingine mbalimbali wanaofanya kazi karibu nacho kupata mapumziko ya kuepuka hali joto ya hewa. (Xinhua/Liu Ying)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma