Reli ya Ethiopia-Djibouti yaanza usafirishaji wa magari (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 26, 2022
Reli ya Ethiopia-Djibouti yaanza usafirishaji wa magari
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Shirika la Ubia la Reli ya Ethiopia-Djibouti (EDR), Abdi Zenebe akizungumza kwenye hafla ya kuashiria kuwasili kwa shehena ya kwanza ya magari katika Kituo cha Usafirishaji cha Indode nje kidogo ya Addis Ababa, Ethiopia, Agosti 25, 2022. (Xinhua) /Michael Tewelde)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha