Wahudumu wa kutoa tahadhari juu ya mawimbi makali kando za Mto Qiantangjiang (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 13, 2022
Wahudumu wa kutoa tahadhari juu ya mawimbi makali kando za Mto Qiantangjiang
Septemba 12, mhudumu akitumia kipaza sauti kutoa tahadhari juu ya mawimbi makali yanayokuja na kuwashawishi watazamaji warudi nyuma na kuchukua tahadhari juu ya usalama.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha