Hengzhou, Guangxi: Maua yaleta ustawi kwa mji (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 14, 2022
Hengzhou, Guangxi: Maua yaleta ustawi kwa mji
Maua bandia yanayotengenezwa kwa mikono. Picha inatoka kituo cha vyombo vya habari cha Hengzhou.

Mji wa Hengzhou husifiwa kuwa “maskani ya Jasmine ya China” na “mji mkuu wa Jasmine Duniani”. Katika mji huo mdogo, viwanda vya bidhaa za maua ya Jasmine vinastawi sana, vikileta mali kwa watu wa mji wa Hengzhou.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha