Hengzhou, Guangxi: Maua yaleta ustawi kwa mji

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 14, 2022
Hengzhou, Guangxi: Maua yaleta ustawi kwa mji
Maua ya Jasmine yanayochanua yakiwavutia watalii kuja kuangalia. (Picha/Wei Weihai)

Mji wa Hengzhou husifiwa kuwa “maskani ya Jasmine ya China” na “mji mkuu wa Jasmine Duniani”. Katika mji huo mdogo, viwanda vya bidhaa za maua ya Jasmine vinastawi sana, vikileta mali kwa watu wa mji wa Hengzhou.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha