Wilaya ya Ningshan, China yaweka mkazo katika ulinzi wa mazingira ya asili na maendeleo yasiyo na uchafuzi (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 13, 2022
Wilaya ya Ningshan, China yaweka mkazo katika ulinzi wa mazingira ya asili na maendeleo yasiyo na uchafuzi
Picha iliyopigwa tarehe 7, Februari, 2022 ikionesha mandhari nzuri ya Milima ya Qinling ya Wilaya ya Ningshan, Mkoa wa Shaanxi, China.

Katika miaka ya hivi karibuni, wilaya ya Ningshan ilifanya juhudi kubwa kwa kulinda mazingira ya asili na maendeleo yasiyo na uchafuzi. Maeneo ya misitu ya wilaya hiyo yamefikia asilimia 96.24, ambapo idadi ya wanyama kama kwarara, panda na tumbili imeongezeka siku hadi siku. (Xinhua/Shao Rui)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha