

Lugha Nyingine
Wilaya ya Ningshan, China yaweka mkazo katika ulinzi wa mazingira ya asili na maendeleo yasiyo na uchafuzi (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 13, 2022
![]() |
Kiongozi wa ofisi ya usimamizi ya Kituo cha mazingira ya asili ya kuzaliana kwa kwarara porini huko Ningshan, Mkoa wa Shaanxi Li Xia akifuatilia shughuli za kawaida za Kwarara. |
Katika miaka ya hivi karibuni, wilaya ya Ningshan ilifanya juhudi kubwa kwa kulinda mazingira ya asili na maendeleo yasiyo na uchafuzi. Maeneo ya misitu ya wilaya hiyo yamefikia asilimia 96.24, ambapo idadi ya wanyama kama kwarara, panda na tumbili imeongezeka siku hadi siku. (Xinhua/Shao Rui)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma