Kituo cha waandishi wa habari kwenye Mkutano Mkuu wa 20 wa CPC chaandaa mahojiano ya kundi la nne (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 20, 2022
Kituo cha waandishi wa habari kwenye Mkutano Mkuu wa 20 wa CPC chaandaa mahojiano ya kundi la nne
Mwandishi wa habari akiinua mkono wake kuuliza swali kupitia njia ya video kwenye mahojiano ya kundi la nne yaliyoandaliwa na kituo cha waandishi wa habari kwa ajili ya Mkutano Mkuu wa 20 wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) mjini Beijing, China, Oktoba 19, 2022. (Xinhua/Yin Gang)

Kituo cha wanahabari cha Mkutano Mkuu wa 20 wa Chama cha CPC kimeandaa mahojiano yake ya kundi la nne Jumatano wiki hii. Kwenye mahojiano hayo, wasemaji waliufahamisha umma na waandishi wa habari kuhusu uelewa wao na majadiliano ya wajumbe kuhusu ripoti ya Mkutano Mkuu wa 20 wa CPC, na kujibu maswali kutoka kwa wanahabari. (Xinhua/Chen Jianli)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha