Kituo cha waandishi wa habari kwenye Mkutano Mkuu wa 20 wa CPC chaandaa mahojiano ya kundi la nne

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 20, 2022
Kituo cha waandishi wa habari kwenye Mkutano Mkuu wa 20 wa CPC chaandaa mahojiano ya kundi la nne
Wasemaji wa wajumbe kutoka Chongqing, Sichuan, Guizhou, Yunnan, Tibet, Shaanxi na Gansu kwenye Mkutano Mkuu wa 20 wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) wamekutana na waandishi wa habari kwenye mahojiano ya kikundi cha wajumbe kutoka mikoa na maeneo hayo hapa Beijing, China, Oktoba 19, 2022.

Kituo cha wanahabari cha Mkutano Mkuu wa 20 wa Chama cha CPC kimeandaa mahojiano yake ya kundi la nne Jumatano wiki hii. Kwenye mahojiano hayo, wasemaji waliufahamisha umma na waandishi wa habari kuhusu uelewa wao na majadiliano ya wajumbe kuhusu ripoti ya Mkutano Mkuu wa 20 wa CPC, na kujibu maswali kutoka kwa wanahabari. (Xinhua/Chen Jianli)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha