Majira ya mavuno ya pilipili yaanza huko Kailu, Kaskazini mwa China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 26, 2022
Majira ya mavuno ya pilipili yaanza huko Kailu, Kaskazini mwa China
Picha hii iliyopigwa kutoka angani Oktoba 25, 2022 ikionesha kuwa, mashine yakirundika pilipili kwenye mji mdogo wa Dongfeng wa Wilaya ya Kailu, Eneo linalojiendesha la Mongolia ya Ndani, China.

Majira ya mavuno ya pilipili yameanza kwenye Wilaya ya Kailu. Hivi sasa wilaya hiyo ina eneo la hekta 40,000 hivi la mashamba ya pilipili. (Xinhua/Lian Zhen)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha