

Lugha Nyingine
Majira ya mavuno ya pilipili yaanza huko Kailu, Kaskazini mwa China (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 26, 2022
![]() |
Picha hii iliyopigwa Oktoba 25, 2022 ikionesha kuwa, mwanakijiji akivuna pilipili kwenye mashamba ya kijiji cha Dongfanghong cha Wilaya ya Kailu, Eneo linalojiendesha la Mongolia ya Ndani, China. |
Majira ya mavuno ya pilipili yameanza kwenye Wilaya ya Kailu. Hivi sasa wilaya hiyo ina eneo la hekta 40,000 hivi la mashamba ya pilipili. (Xinhua/Lian Zhen)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma