Mkutano usio rasmi wa 29 wa Viongozi wa APEC utafanyika Bangkok, Thailand (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 17, 2022
Mkutano usio rasmi wa 29 wa Viongozi wa APEC utafanyika Bangkok, Thailand
Tarehe 14, Novemba, mfanyakazi akifanya kazi kwenye Kituo cha Vyombo vya Habari vya Mkutano wa APEC 2022 utakaofanyika Bangkok, Thailand.

Mkutano usio rasmi wa 29 wa viongozi wa Shirika la Ushirikiano wa Kiuchumi la Asia-Pasifiki (APEC) utafanyika Bangkok, Thailand kuanzia tarehe 18 hadi 19, Novemba. (Xinhua/Wang Teng)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha