Mkutano usio rasmi wa 29 wa Viongozi wa APEC utafanyika Bangkok, Thailand

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 17, 2022
Mkutano usio rasmi wa 29 wa Viongozi wa APEC utafanyika Bangkok, Thailand
Picha iliyopigwa tarehe 16, Novemba, 2022 ikionesha alama ya mkutano wa APEC wa 2022 kwenye barabara ya Bangkok, Thailand.

Mkutano usio rasmi wa 29 wa viongozi wa Shirika la Ushirikiano wa Kiuchumi la Asia-Pasifiki (APEC) utafanyika Bangkok, Thailand kuanzia tarehe 18 hadi 19, Novemba. (Xinhua/Wang Teng)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha