Hospitali iliyojengwa na China nchini Kuwait yafanyiwa hafla ya ufunguzi (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 21, 2022
Hospitali iliyojengwa na China nchini Kuwait yafanyiwa hafla ya ufunguzi
Waandishi wa habari wakitembelea Chumba cha Wagonjwa wenye Uangalizi Maalumu (ICU) cha Hospitali ya Uhakikisho wa Afya ya Kuwait huko Ahmadi, Kuwait, Desemba 18, 2022. (Picha na Dong Ling/Xinhua)

Mradi wa Hospitali za Uhakikisho wa Afya wa Kuwait uliojengwa na Kampuni ya Metallurgiska ya China utatoa huduma za bima ya matibabu kwa wageni pekee. Inajumuisha hospitali mbili za Ahmadi na Al Jahra, zenye eneo la ujenzi la mita za mraba 85,000 na thamani ya kandarasi ya karibu dola milioni 500 za Marekani.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha