

Lugha Nyingine
Habari picha: Ndege wanaohamahama wakiwa kwenye hifadhi karibu na Ziwa Poyang Mashariki mwa China (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 23, 2022
![]() |
Korongo weupe wakicheza kwenye Hifadhi ya Nanchang ya Nyota Tano ya Korongo wa Siberia karibu na Ziwa Poyang huko Nanchang, Mkoa wa Jiangxi nchini China, Desemba 21, 2022. (Xinhua/Wan Xiang) |
Katika Hifadhi ya Nanchang ya Nyota Tano ya Korongo wa Siberia karibu na Ziwa Poyang, ambalo limeathiriwa na ukame mwaka huu, watu wapenda ndege wamekodisha bwawa la lotus, ambapo ndege wanaohama wamekuwa wakivutiwa kwa chakula kila mwaka, ili kuandaa chakula cha kutosha kwa ndege wanaohama wakati wa majira ya baridi. . (Xinhua/Wan Xiang)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma