Habari picha: Ndege wanaohamahama wakiwa kwenye hifadhi karibu na Ziwa Poyang Mashariki mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 23, 2022
Habari picha: Ndege wanaohamahama  wakiwa kwenye hifadhi karibu na Ziwa Poyang Mashariki mwa China
Ndege wanaohamahama wakiwa wamepumzika kwenye Hifadhi ya Nanchang ya Nyota Tano ya Korongo wa Siberia karibu na Ziwa Poyang huko Nanchang, Mkoa wa Jiangxi nchini China, Desemba 21, 2022. Ziwa Poyang ni ziwa kubwa zaidi la maji baridi nchini China, ni mahali pazuri pa baridi kwa ndege wanaohamahama .

Katika Hifadhi ya Nanchang ya Nyota Tano ya Korongo wa Siberia karibu na Ziwa Poyang, ambalo limeathiriwa na ukame mwaka huu, watu wapenda ndege wamekodisha bwawa la lotus, ambapo ndege wanaohama wamekuwa wakivutiwa kwa chakula kila mwaka, ili kuandaa chakula cha kutosha kwa ndege wanaohama wakati wa majira ya baridi. . (Xinhua/Wan Xiang)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha