Chapa za kimataifa zaonyesha picha ya sungura, mnyama anayewakilisha Mwaka Mpya wa Jadi wa China wa 2023 ili kukumbatia soko la China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 11, 2023
Chapa za kimataifa zaonyesha picha ya sungura, mnyama anayewakilisha Mwaka Mpya wa Jadi wa China wa 2023 ili kukumbatia soko la China
Picha hii iliyopigwa Januari 8, 2023 ikionyesha bidhaa maaalum za chapa ya kimataifa kwa ajili ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China wa Sungura wa 2023 kwenye duka lisilotozwa ushuru huko Haikou, Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China. (Xinhua/Guo Cheng)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha