Mapambo yenye picha ya sungura yaongeza shamrashamra za sherehe za Mwaka Mpya wa Jadi wa China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 17, 2023
Mapambo yenye picha ya sungura yaongeza shamrashamra za sherehe za Mwaka Mpya wa Jadi wa China
Mtoto akipiga picha katikati ya taa za kijadi zenye umbo la sungura katika Wilaya ya Xuan'en ya Eneo linalojiendesha la Kabila la Watujia na Wamiao la Xuan'en, huko Hubei katikati mwa China, Januari 15, 2023. (Picha na Song Wen/Xinhua)

Mwaka Mpya wa Jadi wa China wa Sungura unapokaribia, mapambo na kazi mbalimbali za mikono zenye picha ya sungura, mmoja wa wanyama 12 ambao kila mmoja anawakilisha mwaka mmoja katika mzunguko wa miaka 12 kwa kalenda ya kilimo ya China, zimeteka mitaa mbalimbali, na kuongeza shamrashamra za sherehe hiyo maarufu ya kijadi nchini China. (Picha na Zeng Yong/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha