Furaha ya kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China yaongezeka (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 20, 2023
Furaha ya kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China yaongezeka
Tarehe 174 Januari, Mwaka 2023,watu wakicheza ngoma ya simba ya kijadi ya China nje ya soko la Pingyao mkoani Shanxi.

Mwaka Mpya wa Jadi wa China unapowadia, hali ya sherehe imeonekana nchini kote, watu wa sehemu mbalimbali wanapitia njia mbalimbali kukaribisha Mwaka wa Sungura yaani Mwaka Mpya wa Jadi wa China.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha