Furaha ya kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China yaongezeka

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 20, 2023
Furaha ya kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China yaongezeka
Tarehe 17, Januari, 2023,taa za kijadi zikitundikwa kwenye nguzo za miti iliyoko kando mbili za njia ya Mtaa wa Shenlu,Beijing.

Mwaka Mpya wa Jadi wa China unapowadia, hali ya sherehe imeonekana nchini kote, watu wa sehemu mbalimbali wanapitia njia mbalimbali kukaribisha Mwaka wa Sungura yaani Mwaka Mpya wa Jadi wa China.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha