Duka la kuoka mikate lapambwa kwa Mwaka Mpya wa Jadi wa China huko Cairo, Misri (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 20, 2023
Duka la kuoka mikate lapambwa kwa Mwaka Mpya wa Jadi wa China huko Cairo, Misri
Mteja anaonekana akiwa kwenye duka la kuoka na kuuza mikate lenye mapambo ya Mwaka wa Sungura yaani Mwaka Mpya ujao wa Jadi wa China, huko Cairo, Misri, Januari 18, 2023. (Xinhua/Wang Dongzhen)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha