Duka la kuoka mikate lapambwa kwa Mwaka Mpya wa Jadi wa China huko Cairo, Misri

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 20, 2023
Duka la kuoka mikate lapambwa kwa Mwaka Mpya wa Jadi wa China huko Cairo, Misri
Januari 18, 2023 kwenye duka la kuoka na kuuza mikate huko Cairo, Misri, Mfanyakazi akionyesha keki yenye umbo la sungura kwa kusherehekea Mwaka wa Sungura, yaani Mwaka Mpya ujao wa Jadi wa China. Sherehe za Mwaka Mpya wa Jadi wa China zitafanyika kote nchini China kuanzia Januari 22, 2023. (Xinhua/Wang Dongzhen)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha