Picha Mbalimbali za Sherehe za Mwaka Mpya wa Jadi wa China huko Tangshan, Kaskazini mwa China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 22, 2023
Picha Mbalimbali za Sherehe za Mwaka Mpya wa Jadi wa China huko Tangshan, Kaskazini mwa China
Watu wakitazama taa za kijadi za sherehe kwenye mtaa mkongwe wa Hetou kuelekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China katika Wilaya ya Fengnan yaMji wa Tangshan, Mkoa wa Hebei, Kaskazini mwa China, Januari 20, 2023. (Liu Mancang/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha