Picha Mbalimbali za Sherehe za Mwaka Mpya wa Jadi wa China huko Tangshan, Kaskazini mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 22, 2023
Picha Mbalimbali za Sherehe za Mwaka Mpya wa Jadi wa China huko Tangshan, Kaskazini mwa China
Picha hii iliyopigwa Januari 20, 2023 ikionyesha watu wakitazama taa za kijadi za sherehe kwenye mtaa mkongwe wa Hetou kuelekea Mwaka Mpya wa Jadi wa China katika Wilaya ya Fengnan ya Mji wa Tangshan, Mkoa wa Hebei, Kaskazini mwa China. (Xinhua/Yang Shiyao)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha