Habari Picha: Watu mbalimbali wakiwa zamu za kazi wakati wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 22, 2023
Habari Picha: Watu mbalimbali wakiwa zamu za kazi wakati wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China
Wahudumu wa afya wakitayarisha upasuaji katika Kituo cha Uzazi na Malezi ya Mtoto cha Wilaya ya Boai katika Mji wa Jiaozuo, Mkoa wa Henan Katikati mwa China, Januari 21, 2023. (Picha na Cheng Quan/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha