Habari Picha: Watu mbalimbali wakiwa zamu za kazi wakati wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 22, 2023
Habari Picha: Watu mbalimbali wakiwa zamu za kazi wakati wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China
Picha hii iliyopigwa Januari 21, 2023 ikionyesha wafanyakazi wa usafi wa mazingira wakikusanya vitu vinavyoelea kwenye mto katika Kitongoji cha Shuangjiang, Wilaya inayojiendesha ya Kabila la Wadong ya Tongdao, Mkoa wa Hunan Katikati mwa China. Watu kutoka sekta mbalimbali wameendelea kushikilia zamu zao za kazi katika mkesha wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China, ambayo inafanyika leo Januari 22. (Picha na Su Yongzhu/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha