

Lugha Nyingine
Pilikapilika kwenye Gati la Makontena la Qianwan la Bandari ya Qingdao, Mashariki mwa China (10)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 29, 2023
![]() |
Picha hii iliyopigwa Januari 27, 2023 ikionyesha meli inayobeba makontena ikitia nanga kwa usaidizi wa boti za kuvuta kwenye Gati la Makontena la Qianwan kwenye Bandari ya Qingdao katika Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China. (Xinhua/Li Ziheng) |
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma