Pilikapilika kwenye Gati la Makontena la Qianwan la Bandari ya Qingdao, Mashariki mwa China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 29, 2023
Pilikapilika kwenye Gati la Makontena la Qianwan la Bandari ya Qingdao, Mashariki mwa China
Meli inayobeba makontena ikisafiri kuelekea Gati la Makontena la Qianwan kwenye Bandari ya Qingdao, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China, Januari 27, 2023. (Xinhua/Li Ziheng)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha