Watu wa Kabila la Wamiao washiriki katika shughuli ya kucheza ngoma katika Mkoa wa Guizhou, China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 30, 2023
Watu wa Kabila la Wamiao washiriki katika shughuli ya kucheza ngoma katika Mkoa wa Guizhou, China
Watu wa kabila la Wamiao wanaovaa mavazi ya kijadi wakishiriki katika shughuli ya kucheza ngoma iitwayo "Tiaoyue" katika Kijiji cha Zhongpai, Wilaya ya Longli, Mkoa wa Guizhou, Kusini-Magharibi mwa China, Januari 29, 2023. (Xinhua/Yang Wenbin)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha