Xinjiang yawa mojawapo ya maeneo maarufu ya utalii wa majira ya baridi nchini China (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 13, 2023
Xinjiang yawa mojawapo ya maeneo maarufu ya utalii wa majira ya baridi nchini China
Picha iliyopigwa Januari 16, 2023 ikionyesha Barabara Kuu ya kuvuka jangwa inayounganisha Wilaya ya Altay na Mji wa Urumqi, Mji Mkuu wa Mkoa unaojiendesha wa Xinjiang, Kaskazini-Magharibi mwa China. (Xinhua/Hu Huhu)

Xinjiang, ambayo inajivunia hali nzuri ya mazingira ya asili na vituo vingi vya kiwango cha juu vya kuteleza kwenye theluji, imechukua nafasi kubwa katika sekta hiyo inayostawi ili kuwa moja ya maeneo maarufu ya utalii wa majira ya baridi nchini China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha