Xinjiang yawa mojawapo ya maeneo maarufu ya utalii wa majira ya baridi nchini China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 13, 2023
Xinjiang yawa mojawapo ya maeneo maarufu ya utalii wa majira ya baridi nchini China
Watoto wakicheza kwenye uwanja wa kuteleza kwenye theluji katika bustani moja huko Urumqi, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang, Kaskazini-Magharibi mwa China Januari 15, 2023. (Xinhua/Wang Fei)

Xinjiang, ambayo inajivunia hali nzuri ya mazingira ya asili na vituo vingi vya kiwango cha juu vya kuteleza kwenye theluji, imechukua nafasi kubwa katika sekta hiyo inayostawi ili kuwa moja ya maeneo maarufu ya utalii wa majira ya baridi nchini China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha